Read KISWAHILI LATE ASSIGNMENT text version

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITIVO CHA FANI YA SAYANSI YA JAMII OSW 322: SEMANTIKI ZOEZI LA KWANZA - 2008/2009 MAELEKEZO: Jibu maswali MAWILI tu; Moja kutoka kila sehemu SEHEMU KWANZA: 1. Linganisha nadharia ya maana ya utumizi na ile ya kidhana.

2. Eleza kinaganaga vipengele vya lugha vinavyoshughulikiwa na taaluma ya semantiki.

SEHEMU PILI: 3. Lingalisho na linganua kati ya taaluma ya tafsiri na taaluma ya ukalimani.

4. Tafsiri maonyesho MATATU ya kwanza katika lugha ya Kiingereza ya AMA Morani(E.Mbogo) Au Ngoswe(E.Semzaba)

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITIVO CHA FANI YA SAYANSI YA JAMII OSW 322: SEMANTIKI ZOEZI LA PILI - 2008/2009 MAELEKEZO: Jibu maswali MAWILI tu; Moja kutoka kila sehemu

SEHEMU A: SEMANTIKI 1. Unyume unajidhihirishaje katika Kiswahili sanifu?

2. "Kuna aina mbili tu za maana ya msingi na dokezi". Jadili

SEHEMU B: KUTANGAZA TAFSIRI NA SEMANTIKIA 3. Jadili tofauti kati ya tafsiri sisisi and tafsiri sabilia.

4. Jadili nadhari mbili za tafsiri.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITIVO CHA FANI YA SAYANSI YA JAMII OSW 121 UTANGULIZI WA LUGHA NA ISIMU ZOEZI LA KWANZA - 2008/2009 MAELEKEZO: JIBU MASWALI MAWILI TU; MOJA KUTOKA KILA SEHEMU

1. `ofolojia ni taaluma pana na yenye dhima mahsusu' Jadili huku ukioa mifano mwafaka. 2. Eleza uhusiano na tofauti zilizopo kati ya dhana za mofu,alomofu na mofimu.

3. Eleza tofauti za kifonetiki zilizopo kati ya irabu na konsonanti. 4. " Kitenzi cha kiswahili ni neno lenye dhima kubwa kimaana na kisarufi' Jadili huku ukitoa mifdano muafaka.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITIVO CHA FANI YA SAYANSI YA JAMII OSW 121 UTANGULIZI WA LUGHA NA ISIMU ZOEZI LA PILI - 008/2009 MAELEKEZO: JIBU MASWALI MAWILI TU; MOJA KUTOKA KILA SEHEMU

1. Lahaja ni nini? Je ni sababu zipi zinazosababisha kuzuka kwa lahaja? 2. Taja sehemu kuu mbili za sentensi na eleza sababu za msingi za mgawanyo huo.

3. Vichaganue vipashio vya sntensi zifuatazo kwa njia ya matawi. a. Ali anakunjwa chai ya maziwa. b. Hayupo hapa. c. Kiswahili na kingereza ni lugha muhimu Tanzania d. Dada anampikia mgonwa uji. 4. Toa fasihi fupi ya dhana zifuatazo kwa mifano halisi i. Fonetiki. ii. Fonologia. iii. Alofoni. iv. Kidatu. v. Silabi.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII IDARA YA LUGHA ISIMU NA TAALUMA YA KIFASIHI

OSW 222: FONETIKI NA FONOLOJIA YA KISWAHILI ZOEZI LA KWANZA ­ 2008/2009

MAELEKEZO: JIBU MASWALI MAWILI TU. · · · Majibu ya maswali haya yawasilishwe kabla ya tarehe 31 Disemba 2008. Usisahau kuandika Majina na Namba yako ya kusajiliwa mahali panapotakiwa. Unatakiwa kutoa marejeo ya kutosha.

(1)

Kwa mifano bayana, eleza maana na matawi ya fonetiki.

(2)

Fafanua na kuelekeza maana ya dhana zifuatazo;(a) Mofu (b) Mofimu (c) Fonimu

(3)

Unaelewa nini "kuhusu ala za sauti" katika taaluma ya fonolojia.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII IDARA YA LUGHA ISIMU NA TAALUMA YA KIFASIHI

OSW 222: FONETIKI NA FONOLOJIA YA KISWAHILI ZOEZI LA PILI ­ 2008/2009

MAELEKEZO: JIBU MASWALI MAWILI TU. · · · Majibu ya maswali haya yawasilishwe kabla ya tarehe 30 APRILI, 2008. Usisahau kuandika Majina na Namba yako ya kusajiliwa mahali panapotakiwa. Unatakiwa kutoa marejeo ya kutosha.

(1) Jadili tofauti zilizopo kati ya fonetiki na fonolojia. (2) Kwa mifano bayana, fafanua na kueleza tofauti kati ya fonimu na alofoni. (3) Taja na eleza kwa kinaganaga sifa bainifu/pambanuzi za irabu za Lugha ya Kiswahili.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII IDARA YA LUGHA ISIMU NA TAALUMA YA KIFASIHI

OSW 228: TAMTHILIA YA KISWAHILI ZOEZI LA PILI ­ 2008/2009

MAELEKEZO: JIBU MASWALI MAWILI TU. · · · Majibu ya maswali haya yawasilishwe kabla ya tarehe 31 Disemba 2008. Usisahau kuandika Majina na Namba yako ya kusajiliwa mahali panapotakiwa. Unatakiwa kutoa marejeo ya kutosha.

1. Kitabu cha mashetani cha Ebrahimu Hussein ni tamthilia na sio sanaa za maonyesho. Jadili. 2. Tamthilia za aina ya tanzia huwawsilisha ujumbe vizuri kuliko za aina ya ramsa. Jadili ukitumia mifano ya tamhtilia ulizosoma.

3. Jamii yako imewahi kuwa na sanaa inayofanana na tamthiliya? Kama jibu ni ndio eleza muundo na lengo la sanaa hiyo. 4. Eleza umuhi i. ii. iii. iv. umuhimu katika tamthiliya. Vipengele vilivyo muhimu ni: Mtiririko wa mtukio. Wahusika Maudhui na Maneno. Jadili.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII Idara ya Lugha Isimu na Taaluma ya Kifasihi

OSW 123: FASIHI YA KISWAHILI NADHARIA NA UHAKIKI ZOEZI LA KWANZA ­ 2008/2009 MAELEKEZO:

JIBU MASWALI MAWILI TU, MOJA KUTOKA KILA SEHEMU

· Majibu yako yatufikie kabla ya 31 Disemba 2008. · Usisahau kuandika Majina na Namba yako ya kusajiliwa mahali panapotakiwa. · Unatakiwa kutoa marejeo ya kutosha.

SEHEMU A

1. 2. "Kuandika na/au kubuni kazi za fasihi kwataka ufuni". Jadili "Ili kuweza kuziambatanisha taalimu mbalimbali katika jitihada za kuielewa fasihi ya jamii Fulani ni sharti mwanafunzi wa fasihi aoneshe upevu katika kujadili dhima ya fasihi kwa maisha ya binadamu". Jadili kwa kutumia kazi hai (za tangu zote tatu) za fasihi. Kwa nini ni muhimu kufanya utafiti juu ya mwandishi/mtunzi wa kazi za fasihi na maisha yake tangu ya utoto?

3.

SEHEMU B

4. Jadili suala la usawiri wa wahusika katika AMA NGOSWE AU MORANI .

1. 2.

Jadili fani na maudhui toka riwaya yoyote uliyosoma. Chagua mashairi MAWILI ya Shaaban Robert na uhakiki fani na maudhui yake.

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII Idara ya Lugha Isimu na Taaluma ya Kifasihi

OSW 123: FASIHI YA KISWAHILI NADHARIA NA UHAKIKI ZOEZI LA PILI ­ 2008/2009

MAELEKEZO: JIBU MASWALI MAWILI TU, MOJA KUTOKA KILA SEHEMU · · · Majibu yako yatufikie kabla ya 30 APRILI, 2009. Usisahau kuandika Majina na Namba yako ya kusajiliwa mahali panapotakiwa. Unatakiwa kutoa marejeo ya kutosha.

SEHEMU A

1. "Hati zilizotumika Uswahilini zilikuwa za Kiswahili zaidi kuliko hizo za kiarabu zinazotajwatajwa sana". Thibitisha kwa mifano dhahiri kusema tu Fasihi inafundisha, inaonya, inaadhibu ..... si jawabu ya kifasihi. Je fasihi inayafanyaje hayo tafauti na jinsi masomo mengine yanavyofundisha, kuonya, kuadiu ........? "Sanaa yoyote (ikiwemo fasihi) ambayo mwisho wake huwafanya watu kuwa mafisadi na mafisadi, wasanii wake hupata jukumu la kujitetea kwa uovu huo". Jibu swali hili kifasihi ukizingatia kuwa (i) jukumu siyo wajibu bali ni utetezi dhidi ya uovu/uasi (ii) mifano hai ya "si-neema", riwaya-maarufu (si zote zinazopendwa kuitwa pendwa) ni muhimu.

2.

SEHEMU B

3. Sanaa huakisi hali halisi ya maisha". Huku ukirejelea AMA Adili na Nduguze AU Watoto wa Mama ntilie, ijadili kauli hii. "Kinjeketile katika Kinjeketile ni kiongozi asiyekuwa na msimamo". Jadili.

4.

Information

KISWAHILI LATE ASSIGNMENT

10 pages

Find more like this

Report File (DMCA)

Our content is added by our users. We aim to remove reported files within 1 working day. Please use this link to notify us:

Report this file as copyright or inappropriate

83193