Read CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA text version

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITIVO CHA FANI NA SAYANSI ZA JAMII OSW 223:MOFOLOJIA YA KISWAHILI ZOEZI LA KWANZA: MAELEKEZO: SEPTEMBA, 2007.

· ·

· ·

·

Jibu maswali MAWILI tu. Kwa kila zoezi. Zoezi la Kwanza majibu yako yatufikie kabla ya 14 Disemba 2007 Zoezi la Pili majibu yako yatufikia kabla ya 29/3/2008 Usisahau kuiandika Majina na Namba yako ya kusajiliwa mahali panapotakiwa. Unatakiwa kutoa marejeo ya kutosha

1. 2.

ZOEZI LA KWANZA Fafanua dhima ya mofolojia kama tanzu mojawapo ya Isimu Zingatia baadhi ya maneno yaliyoibuka siku za karibuni. Je maneno hayo yanazingatia kanuni za maneno ya Kiswahili? Fafanua (a) habarisha (b) akina mama (wamama) (c) tanabahisha (d) kuchachatika (d) mpatampataye Alomofu zinaweza kupambanuliwa katika mazingira ya aina mbali mbali. Toa maelezo kuntu kwa mifano dhahiri. "Utenganishaji wa mofimu hauna kanuni maalumu." Jadili.

3. 4.

ZOEZI LA PILI 1. Fafanua dhana zifuatazo (a) mizizi (c) neon (b) (e) shina leksika

2. 3. 4.

Fasili na kuonyesha uhusiano au na tofauti iliyopo kati ya unyambulishaji, unyambuaji na uambishaji. "Maneno katika Kiswahili huundwa kiholela" Unga mkono au na pinga dai hilo kwa mifano. Mofofonolojia inahusu nini?

Information

CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

1 pages

Find more like this

Report File (DMCA)

Our content is added by our users. We aim to remove reported files within 1 working day. Please use this link to notify us:

Report this file as copyright or inappropriate

447105