Read Microsoft Word - Form RGMF 2.doc text version

Form RGMF 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Sheria ya Ndoa ya 1971, Fungu la 30 The Law of Marriage Act 1971, Section 30 OMBI LA LESENI YA KUFUNGISHA NDOA APPLICATION FOR LICENSE TO CONDUCT MARRIAGES

KUMBUKA: (1) Nakala moja tu yahitajiwa na ipelekwe kwa Msajili Mkuu wa Ndoa. To be completed in original and submitted to the Registrar General of Marriages, P.O BOX 9183 D'Salaam. (2) Maombi lazima yaambatane na ada ya sh 5,500/= A fee of Shs 5,500/= must accompany application. 1. Jina la Muombaji Name of Applicant 2. Dini (kama imetajwa.Taja nambari ya Tangazo la Serikali) Religion (if specified state G.N Number) 3. Anwani Address 4. Jina la mtu anayeombewa leseni Name of person to be licensed 5. Waadhifu wa anaeomba leseni Designation of person to be licensed 6. Kama aliwahi kupewa leseni ya kufungisha ndoa, kama ndio, wapi? Whether previously licensed to conduct marriages; if so where? 7. Tarehe Date..........................20..... ..................................... Sahihi ya Muombaji Signature of Applicant .............................. Sifa Qualification

8.

Maelezo ya Mkuu wa Wilaya yanahitajiwa ikiwa muombaji ni mtu binafsi/ Comments of the Area Commissioner where the Applicant is an individual Tarehe Date...........................20......

.......................................... .............................. Sahihi ya Mkuu wa Wilaya Wilaya Signature of the Area Commissiner District

GP Dsm, Tanzania

Information

Microsoft Word - Form RGMF 2.doc

1 pages

Report File (DMCA)

Our content is added by our users. We aim to remove reported files within 1 working day. Please use this link to notify us:

Report this file as copyright or inappropriate

272935


You might also be interested in

BETA
Microsoft Word - Form RGMF 2.doc